Monday, May 9, 2011

Timu ya MANCHESTER UNITED imeisambaratisha timu ya CHELSEA kwa mara ya tatu mfululizo kwa magoli 2-1,wafungaji wakiwa ni JAVIER HERNANDEZ CHICHARITO na timu captan NEMANJA VIDIC,goli la kufutia machozi la mabingwa wa msimu uliopita CHELSEA liliwekwa kimiani na kiungo wao mkongwe FRANK LAMPAD.sasa UNITED imefikisha pointi 76 mbele ya CHELSEA yenye pointi 70

No comments:

Post a Comment

Popular Posts