
Member wa NYEUSI anaejulikana kwa jina la Nikki wa pili ameachiz singo mpya inayokwenda kwa jina la 'PAIR' akiwa amemshirikisha brother wa tumbo moko namzungumzia Joh makini a.k.a Mwamba wa kaskazini pamoja na Jiwala wala,singo hiyo iliyo katika mahadhi ya dance hall beat imetengenezwa na mtu mzima Nareal,mixing ikifanywa na mtu mzima Marco chali huku sound ikiwekwa na Zacha mdogo wa Marco chali pale studio za MJ records,akihojiwa leo kupitia Hot 3@3 ndani ya XXL ya clouds fm Nikki alifunguka kuhusu suala la kuachia ngoma mwaka hadi mwaka na kusema ye anafanya mziki coz anapenda afanye hivyo coz muziki ndo kila kitu kwake na upo moyoni mwake so ulipe usilipe ye ataendelea kufanya muziki....well done bro kwa kufunga na hongera pia kwa ngoma nzuri muda sio mrefu utapata fursa ya kuisikia ngoma hiyo kupitia radio station mbali mbali ni hayo tu.
No comments:
Post a Comment