Tuesday, May 10, 2011

KIM KARDASHIAN na REGGIE BUSH watoa nje ofa......

Mwanamitindo super staa nchini marekani,KIMBERY NOEL au KIM KARDASHIAN ametupia mbaaaaaaaaali ofa ya dola za kimarekani millioni 10 sawa na billioni 15 za kibofongo zilizotolewa na jarida la utupu la VIVID ilia akubali kushiriki filamu ya ngono na aliyekuwa mpenzi wake REGINALD ALFRED II 'REGGIE BUSH'.Habari kutoka mtandao mmoja wa kijanja zinasema kuwa KIM alitumia muda wa dakika sita katika kipindi chake maarufu cha runinga cha 'THE KARDASHIAN'S SHOW' kwa kuwarushia maneno 'meusi' watoaji wa jarida hilo lililowahi kusambaza filamu kama hizo za mtoto wa mcheza filamu maarufu hollywood MONTANA FISHBURNE(the matrix,predator 2010 n.k). "hakika watu hawa wana akili mbovu sana mimi ni mwanamke ninaye heshimika katika jamii ya watu wa marekani hivi sasa sitaki kurudi kwenye vitendo na matukio ya ajabu yaliyowahi kupita kwangu.eti nifanye filamu ya ngono,tena na mtu ambaye tulikuwa na uhusiano zamani kwa kisingizio cha mshiko mbuzi huu ni utahira ambao siwezi kushiriki"alisema kim. kwa upande mwingine Reggie ameliambia jarida la new york times kuwa yuko kwenye mazungumzo na mwanasheria wake MAXWELL HALL kujaribu kuangalia uwezekano wa kufungua mashtaka dhidi ya VIVID kwa kile alichokiita kuchafuliwa mno jina lake.jarida la VIVID toleo la April lilitoa kichwa cha habari US 10M 4 KIM & BUSH......ni hayo tu.



No comments:

Post a Comment

Popular Posts