Tuesday, January 17, 2012

RICH MAVOKO ALBUM IPO SOKON NOW!!!!!

Msanii wa kizazi kipya anayekwenda kwa jina la Rich Mavoko ametupia album yake ya kwanza sokoni inayokwenda kwa jina Uzuri wako,album iliyoshiba sana nyimbo nyingi za mapenzi kama silali ambayo inasumbua kwenye chati nyingi za radio kwa sasa na kuna ngoma kama follow me,dar mpaka mwanza na ngoma kibao tu nzuri akiwa ametengeneza kwenye studio tofauti tofauti hapa jijini dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts