Friday, May 3, 2013

MFANYA BIASHARA KARIAKOO AJIRUSHA TOKA GHOROFA YA 9......

Muda wa mchana wa leo saa 8 mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la SHIRIMA ambaye ni mfanyabiashara maeneo ya kariakoo amejitupa toka ghorofa ya 9 katika hoteli ya CONCORD iliopo maeneo ya kariakoo jijini Dar es Salaam hadi chini na kuangukia gari aina ya TOYOTA COLLORA ambayo ni TAX,mpaka sasa haijafaamika chanzo cha kujitupa kwake na mpaka naondoka eneo la tukio niliacha amepelekwa hospital

No comments:

Post a Comment

Popular Posts