Monday, May 9, 2011

KAA MKAO WA KULA INAKUJA MWEZI HUU...

Wazee wa filamu kaeni mkao wa kula kitu cha ukweli hiki hapa kiko njiani....this may....humu ndani kutakuwa na mtu mzima CHRISS HEMSWORTH kama THOR,NATALIE PORRTMAN az jane foster,pia kuna mzee mzima ANTONY HOPKINS....kwa ufupi tu ila zaidi tembelea hako katovuti hapo juu....ni hayo tu.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts