Friday, January 20, 2012

BIBI WA MAAJABU NDANI YA BONGO FLAVA....

Anajulikana kwa jina la BIBI CHEKA toka pande za TMK anawakilisha kampuni maarufu kwa sasa ya muziki wa bongo flava MKUBWA NA WANAE ya kaka FELLA,na tayari ana singo moja ipo hewani imeachiwa leo na kituo cha CLOUDS FM katika show ya XXL..nyimbo iko katika mahadhi ya zouk na bibi ana umri wa miaka 60 lakini huwezi amini akiwa anatoa mistari yake...ana uwezo wa ku-rap a.k.a kuchana,ana uwezo wa kuimba r'n'b pia mkali ile mbaya katika gospal na Qaswida..huyo ndo BIBI CHEKA soon ataonekana katika lile shindano maarufu la BIBI BOMBA kupitia CLOUDS T.V hiyo ni kwa mujibu wa project manager BABUU WA KITAA...so kama vipi stay tune...utamuona live coz hata video ya wimbo wake aliomshirikisha TEMBA utarushwa hewani muda si mrefu.tumpe sapoti ya ukweli bibi jamani kaja kufunika ndani ya mziki wa kizazi kipya hahahahahaaa KARIBU BIBI!!!!

No comments:

Post a Comment

Popular Posts