Monday, May 9, 2011

KAMA ULIKUA HUJUI....BASI HABAFARI NDO HII HAPA......FERGIE featuring JOSEE..

"mzee usijali tutawaumiza wale(ni kama anasema hapa maurinho)" Boss mwenye matumaini makubwa ya kunyakua makombe mawili msimu huu yaani ligi kuu ya uingereza na lile la uefa champions ligi SIR ALEX FERGUSON ametanabaisha waziwazi kuwa atamshirikisha kimawazo jinsi gani ya kuingamiza timu inayoogopwa kwa sasa na yenye tuhuma nyingi za kubebwa na marefarii yaani BARCELONA F.C au BARCA.kocha wa timu iliyoshindwa kufuzu kwa fainali za mwaka huu za champions ligi zitakazofanyika kwenye uwanja wa WEMBLEY uingereza mnamo tarehe 28/may/2011, REAL MADRID namzungumzia msema hovyo au maneno mengi au mwenyuewe apendavyo aitwe 'the special one' JOSE MAURINHO.sijui itakuaje hapa JOSEE hapa FERGIE...na vipi kama hiyo featuring angeingia pale kati mzee WENGER???????

No comments:

Post a Comment

Popular Posts