
Mwanamitindo super staa nchini marekani,
KIMBERY NOEL au
KIM KARDASHIAN ametupia mbaaaaaaaaali ofa ya dola za kimarekani
millioni 10 sawa na
billioni 15 za kibofongo zilizotolewa na jarida la utupu la
VIVID ilia akubali kushiriki filamu ya ngono na aliyekuwa mpenzi wake
REGINALD ALFRED II 'REGGIE BUSH'.Habari kutoka mtandao mmoja wa kijanja zinasema kuwa KIM alitumia muda wa dakika sita katika kipindi chake maarufu cha runinga cha
'THE KARDASHIAN'S SHOW' kwa kuwarushia maneno 'meusi' watoaji wa jarida hilo lililowahi kusambaza filamu kama hizo za mtoto wa mcheza filamu maarufu hollywood
MONTANA FISHBURNE(
the matrix,predator 2010 n.k). "hakika watu hawa wana akili mbovu sana mimi ni mwanamke ninaye heshimika katika jamii ya watu wa marekani hivi sasa sitaki kurudi kwenye vitendo na matukio ya ajabu yaliyowahi kupita kwangu.eti nifanye filamu ya ngono,tena na mtu ambaye tulikuwa na uhusiano zamani kwa kisingizio cha mshiko mbuzi huu ni utahira ambao siwezi kushiriki"alisema kim. kwa upande mwingine Reggie ameliambia jarida la new york times kuwa yuko kwenye mazungumzo na mwanasheria wake
MAXWELL HALL kujaribu kuangalia uwezekano wa kufungua mashtaka dhidi ya
VIVID kwa kile alichokiita kuchafuliwa mno jina lake.jarida la VIVID toleo la April lilitoa kichwa cha habari
US 10M 4 KIM & BUSH......ni hayo tu.
