Thursday, January 19, 2012

SIR ALEX FERGUSON WITH NEW CONTRACT@UNITED.....

Kocha wa Manchester United au mashetani wekundu Sir Alex Ferguson amekubali kusaini mkataba wa miaka mitatu zaidi utakaomfanya awe kocha anaeongoza kwa kulipwa kwenye ligi ya Uingereza maarufu kama EPL.kocha huyo sasa atakua anaingiza paund mil 7.5 kwa mwaka akiwacha mbali makocha wengine wa ligi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts