Tuesday, January 17, 2012

EDIN DZEKO AIPAISHA CITY.......


Manchester city jana ilipaa tena na kuacha pengo la point 3 kwa majirani zao ambao ndo mabingwa watetezi Manchester United..kwa ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya wigan athletics mpambano uliopigwa kwenye dimba la wigan,goli likiwekwa wavuni na mshambuliaji hatari Edin Dzeko katika dakika ya 26 na goli hilo lilidumu hadi mwisho wa mchezo.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts