Saturday, January 14, 2012

MANCHESTER UNITED YAUA.....SCHOLES ANG'ARA

Timu ya manchester united imeendeleza wimbi la kumfukuza man city kileleni,baada ya ushindi alioupata leo wa magoli matau kwa bila,mabao ya paul scholes,Wellbeck na Michael Carrick.hivyo kuifanya united kufikisha point 48.hata hivyo Wellbeck alishindwa kuendelea na mchezo huo baada ya kuumia zikiwa zimesalia dakika 15 mpira kuisha,nae mfungaji wa goli la kwanza paul scholes alitolewa nje na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe mwengine katika timu hiyo Ryan giggs.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts