It's all about maburudani na maisha ya kila siku karibuni napenda kufanya kitu na kifanikiwe kila siku iendayo kwa mungu,mungu bariki kazi ya mikono yangu kwa sababu naipenda kama navyopenda vitu vingine na watu pia.
Monday, December 3, 2012
Thursday, November 22, 2012
Monday, August 6, 2012
CHEKA UNENEPE!!! ANT-VIRUS YA STRESS KUJA NA T-SHIRT....
Ikiwa imefanikisha kuwa na memba wapatao 1,394 mpaka sasa kikundi cha wana familia
ya CHEKA UNENEPE kimeamua kuja na t-shirt zake huo hapo juu ukiwa ni mfano wa
moja ya t-shirt hizo..kwa taarifa rasmi kesho mida ya saa 6 mchana zitakuwa tyari na kwa
mawasiliano zaidi bofya 0713 01 62 61.
Ikiwa imefanikisha kuwa na memba wapatao 1,394 mpaka sasa kikundi cha wana familia
ya CHEKA UNENEPE kimeamua kuja na t-shirt zake huo hapo juu ukiwa ni mfano wa
moja ya t-shirt hizo..kwa taarifa rasmi kesho mida ya saa 6 mchana zitakuwa tyari na kwa
mawasiliano zaidi bofya 0713 01 62 61.
Tuesday, June 19, 2012
HII NDIO HATMA YA LIGI KUU YA TANZANIA BARA JUU YA...
HII NDIO HATMA YA LIGI KUU YA TANZANIA BARA JUU YA...Siku kadhaa baada ya afisa habari wa klabu Villa Squad, bwana Idd Godi Godi kuhoji juu ya harakati za viongozi wa vilabu vinavyoshiriki li...
Sunday, June 17, 2012
Greece yatinga quatal final....EURO 2012
dj sek: Ugiriki waingia robo fainali: Mashabiki wa Ugiriki wafurahia timu yao kuingia robo fainali Euro 2012 Giorgios Karagounis, nahodha wa timu ya Ugiriki, alifun...
Thursday, June 14, 2012
DOGO JANJA: HUU NDIO UKWELI MTUPU KUHUSU KUFUKUZWA...
DOGO JANJA: HUU NDIO UKWELI MTUPU KUHUSU KUFUKUZWA... Siku moja baada ya Dogo Janja kudaiwa kufukuzwa Tip Top Connection, ukweli halisi kuhusiana na uamuzi huo umewekwa wazi na yeye mwenyewe... zaidi anadai toka aanze mziki haujamfaidisha chochote zaidi ya hela za ubuge ubuge yaani misosi pamba na mi2ngi! hahaha na zaidi ya bwana madee kuimalizia nyumba yake.hayo ni baadhi ya maneno ya dogo janjaro ambaye alikua stand kurudi zake home swt home.
Monday, June 11, 2012
Soon i'll b back! wadau
Wapendwa kwa muda mrefu sana lakini kwa sasa 2takua pmj tena mis u guys
Wednesday, February 22, 2012
Saturday, January 28, 2012
Friday, January 20, 2012
BIBI WA MAAJABU NDANI YA BONGO FLAVA....

Thursday, January 19, 2012
SIR ALEX FERGUSON WITH NEW CONTRACT@UNITED.....

Tuesday, January 17, 2012
EDIN DZEKO AIPAISHA CITY.......

Manchester city jana ilipaa tena na kuacha pengo la point 3 kwa majirani zao ambao ndo mabingwa watetezi Manchester United..kwa ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya wigan athletics mpambano uliopigwa kwenye dimba la wigan,goli likiwekwa wavuni na mshambuliaji hatari Edin Dzeko katika dakika ya 26 na goli hilo lilidumu hadi mwisho wa mchezo.
NIKKI WA PILI ATOA SINGO MPYA 'PAIR'

Member wa NYEUSI anaejulikana kwa jina la Nikki wa pili ameachiz singo mpya inayokwenda kwa jina la 'PAIR' akiwa amemshirikisha brother wa tumbo moko namzungumzia Joh makini a.k.a Mwamba wa kaskazini pamoja na Jiwala wala,singo hiyo iliyo katika mahadhi ya dance hall beat imetengenezwa na mtu mzima Nareal,mixing ikifanywa na mtu mzima Marco chali huku sound ikiwekwa na Zacha mdogo wa Marco chali pale studio za MJ records,akihojiwa leo kupitia Hot 3@3 ndani ya XXL ya clouds fm Nikki alifunguka kuhusu suala la kuachia ngoma mwaka hadi mwaka na kusema ye anafanya mziki coz anapenda afanye hivyo coz muziki ndo kila kitu kwake na upo moyoni mwake so ulipe usilipe ye ataendelea kufanya muziki....well done bro kwa kufunga na hongera pia kwa ngoma nzuri muda sio mrefu utapata fursa ya kuisikia ngoma hiyo kupitia radio station mbali mbali ni hayo tu.
RICH MAVOKO ALBUM IPO SOKON NOW!!!!!

Saturday, January 14, 2012
MANCHESTER UNITED YAUA.....SCHOLES ANG'ARA

RAISI JAKAYA ALIPOTEMBELEA ENEO MAALUMU LA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HUKO MAMBWEPANDE NJE KIDOGO YA JIJI

Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
Studio ya CASH MONEY RECORD inaweza kuwa ndo nembo halisi katika historia ya muziki huko kwa OBAMA (marekani)kwa kuwa na wasanii wengi peng...
-
Msanii wa kizazi kipya anayekwenda kwa jina la Rich Mavoko ametupia album yake ya kwanza sokoni inayokwenda kwa jina Uzuri wako ,album ili...
-
Toka mkoani MBEYA....Watu wapatao wa5 wanaosadikiwa kuwa ni MAJAMBAZI wameuwawa kwa risasi kufuatia majibizano ya kurushiana risasi na pol...
-
mtu mzima ngwea ameachia track mpya inayokwenda kwa jina la washamba akimshirikisha the chemba squad wa longtime dark master...track iliyoch...
-
Anajulikana kwa jina la BIBI CHEKA toka pande za TMK anawakilisha kampuni maarufu kwa sasa ya muziki wa bongo flava MKUBWA NA WANAE ya kak...
-
Muda wa mchana wa leo saa 8 mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la SHIRIMA ambaye ni mfanyabiashara maeneo ya kariakoo amejitupa toka ghorof...
-
Member wa NYEUSI anaejulikana kwa jina la Nikki wa pili ameachiz singo mpya inayokwenda kwa jina la 'PAIR' akiwa amemshirikisha b...
-
DOGO JANJA: HUU NDIO UKWELI MTUPU KUHUSU KUFUKUZWA... Siku moja baada ya Dogo Janja kudaiwa kufukuzwa Tip Top Connection, ukweli halisi kuhu...