
Na ndivyo ilivyokua jana pale golikipa nambari moja wa wekundu wa msimbazi simba alipoisaidia timu yake kutinga katika hatua ya fainali akiokoa mkwaju wa penati wa el-meirhekh ya sudan na kufanya matokeo kuwa 6-5.huku penati ya simba ikikoswa na salumu machaku.katika dakika 90 el-meirhekh ndio walioanza kupata goli katika dakika ya 26 ya kipindi cha kwanza na simba kurudisha goli hilo katika dakika ya 42 kupitia kwa winga wake machachari Ulimboka mwakingwe.sasa simba anamsubiri kati ya Yanga au St.George siku ya jumapili pale uwanja mpya wa taifa.
Mi nafikiri maoni baada ya fainali ya jana ndo muda wake haswaaa! Hii ni baada ya kushuhudia huyo tzone wenu akimwaga machozi.
ReplyDelete