Friday, July 8, 2011

NEW VIDEO KUTOKA KWA MR.BLUE TILA LILA....

BREAKING NYUUUUUZI.....MAN UNITED YAWAUZA JOHN OSHEA,DARREN GIBSON NA WES BROWN KWA SUNDERLAND.














Manchester united ya uingereza imubali kuwauza wachezaji wake wa sehemu ya ulinzi John Oshea(pichani kulia),Wes Brown(kushoto) na kiungo anayechipukia Darren Gibson kwenda Sunderland nayo ya Uingereza.

'THERES ONLY ONE KASEJA..........


Na ndivyo ilivyokua jana pale golikipa nambari moja wa wekundu wa msimbazi simba alipoisaidia timu yake kutinga katika hatua ya fainali akiokoa mkwaju wa penati wa el-meirhekh ya sudan na kufanya matokeo kuwa 6-5.huku penati ya simba ikikoswa na salumu machaku.katika dakika 90 el-meirhekh ndio walioanza kupata goli katika dakika ya 26 ya kipindi cha kwanza na simba kurudisha goli hilo katika dakika ya 42 kupitia kwa winga wake machachari Ulimboka mwakingwe.sasa simba anamsubiri kati ya Yanga au St.George siku ya jumapili pale uwanja mpya wa taifa.

Saturday, July 2, 2011

NANI MKALI HII LEO... DAVID HAYE VS VRADMIR.....


Haye...













vradmir....... Leo ni mpambano unaosubiliwa kwa hamu kubwa na wanamasumbwi kote duniani kati ya haye na vradmir ni mpambano wa kihistori.

Friday, July 1, 2011


Jamani nimewamisi mpoooo????nawapa hii tu

Popular Posts