It's all about maburudani na maisha ya kila siku karibuni napenda kufanya kitu na kifanikiwe kila siku iendayo kwa mungu,mungu bariki kazi ya mikono yangu kwa sababu naipenda kama navyopenda vitu vingine na watu pia.
Friday, May 3, 2013
JE UNAKIPAJI CHA UIGIZAJI NA UNAPENDA KUJITANGAZA????BASI CHUKUA HII
Kesho kutakua na USAHILI wa kutafuta waigizaji kwa ajili ya kutengeneza FILAMU hapo baadae,mahala ni NYUMBANI LOUNGE,DAR ES SALAAM,muda kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni.zaidi pitia hapa www.ladyjaydee.blogspot.com au wasiliana kwa namba 0713302075 au rimacy.group@yahoo.com
No comments:
Post a Comment