Friday, May 3, 2013

MAJAMBAZI YAUWAWA KWA RISASI MKOANI MBEYA....



Toka mkoani MBEYA....Watu wapatao wa5 wanaosadikiwa kuwa ni MAJAMBAZI wameuwawa kwa risasi kufuatia majibizano ya kurushiana risasi na polisi wa mkoani humo.kwa zaidi pita hapa www.jaizmelaleo.blogspot.com

JE UNAKIPAJI CHA UIGIZAJI NA UNAPENDA KUJITANGAZA????BASI CHUKUA HII

Kesho kutakua na USAHILI wa kutafuta waigizaji kwa ajili ya kutengeneza FILAMU hapo baadae,mahala ni NYUMBANI LOUNGE,DAR ES SALAAM,muda kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni.zaidi pitia hapa www.ladyjaydee.blogspot.com au wasiliana kwa namba 0713302075 au
rimacy.group@yahoo.com

MFANYA BIASHARA KARIAKOO AJIRUSHA TOKA GHOROFA YA 9......

Muda wa mchana wa leo saa 8 mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la SHIRIMA ambaye ni mfanyabiashara maeneo ya kariakoo amejitupa toka ghorofa ya 9 katika hoteli ya CONCORD iliopo maeneo ya kariakoo jijini Dar es Salaam hadi chini na kuangukia gari aina ya TOYOTA COLLORA ambayo ni TAX,mpaka sasa haijafaamika chanzo cha kujitupa kwake na mpaka naondoka eneo la tukio niliacha amepelekwa hospital

Popular Posts