Monday, December 12, 2011

NGWEAR WITH NEW TRACK...WASHAMBA

mtu mzima ngwea ameachia track mpya inayokwenda kwa jina la washamba akimshirikisha the chemba squad wa longtime dark master...track iliyochezwa leo kwa mara ya kwanza radio free afrika itaanza kusambaaa muda si mrefu ktk radio station zingine..hii ni kwa mujibu wa ngwea mwenyewe kaa mkao wa kula kuisikia track hiyo ni hayo tu

Popular Posts